Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kikao cha Kielimu na Utafiti wa Kisayansi kimefanyika Siku ya Jumapili 12 -10-2025 kwa kuzihusisha Shule mbalimbali ikiwemo Shule ya Wasichana ya Hazrat Zainab (SA) - Kibaha.
13 Oktoba 2025 - 22:00
News ID: 1738330
Mada ya "Uchawi na Athari zake kwa Mujibu wa Mtizamo wa Uislamu", ndio mada Kuu iliyochambuliwa katika Mashindano hayo, ambapo Wanafunzi Walifanya Utafiti juu ya Mada hiyo huku wakizama kwa kina katika vipengele mbalimbali kama ifuatavyo:
SEHEMU YA KWANZA: UCHAWI NA MAANA YAKE
- Maana ya Uchawi katika Lugha na Istilahi
- Historia Fupi ya Uchawi katika Jamii za Kale
- Tofauti kati ya Uchawi, Miujiza na Karama
- Sababu za Watu Kujihusisha na Uchawi
SEHEMU YA PILI: UCHAWI KATIKA MTAZAMO WA UISLAMU
- Mtazamo wa Qur’an Tukufu Kuhusu Uchawi
- Hadithi za Mtume (s.a.w.w) Kuhusu Uchawi
- Kisa cha Wachawi wa Firauni na Mafunzo Yake
- Uhusiano wa Uchawi na Shetani
- Hukumu ya Kisharia kwa Wachawi.
SEHEMU YA TATU: ATHARI ZA UCHAWI
- Athari za Kiroho kwa Mtu Anayefanya au Kutumiwa Uchawi
- Athari za Kijamii: Kuvunja Ndoa, Chuki, na Fitna
- Athari za Kisaikolojia na Kimaadili
- Madhara kwa Jamii na Taifa kwa Ujumla
SEHEMU YA NNE: KINGA DHIDI YA UCHAWI
- Njia za Kujilinda kwa Mujibu wa Qur’ani na Sunna
- Dua na Zikr za Kujikinga na Uchawi (kama Suratul-Falaq na An-Naas)
- Umuhimu wa Tawakkul na Imani Imara kwa Allah
- Kuepuka Wachawi na Waguzi: Tahadhari za Kiislamu
SEHEMU YA TANO: SULUHISHO NA MAFUNZO
- Jinsi ya Kutibu Athari za Uchawi kwa Njia Halali
- Wajibu wa Wanafunzi wa Dini na Waalimu wa Kiislamu
- Uhusiano kati ya Uchawi na Udhaifu wa Imani
- Mafunzo Makuu kwa Jamii ya Kiislamu
SEHEMU YA MWISHO: WASEMAVYO WANAZUONI KUHUSU UCHAWI
- Muhtasari wa Maoni ya Wanazuoni kuhusu Uchawi
- Wito wa Kurejea kwenye Tauhidi na Ucha-Mungu
- Hitimisho na Ushauri kwa Waislamu
Your Comment